Michuano
ya soka kuwania taji la Afrika Mashariki na Kati CECAFA, inatarajiwa kuanza leo
(Desemba 3, 2017)nchini Kenya.
Mataifa
10 yanashiriki katika michuano hiyo.
Mechi
ya ufunguzi itakuwa kati ya wenyeji KENYA na RWANDA lakini mechi nyingine leo itakuwa
ni kati ya LIBYA na TANZANIA.
Kundi
A lina timu za KENYA, RWANDA, LIBYA, TANZANIA na ZANZIBAR wakati Kundi B
litakuwa na mataifa ya UGANDA, BURUNDI, ETHIOPIA na SUDAN KUSINI.
Ratiba ya Michuano hiyo
Ratiba ya Michuano hiyo
No comments
Post a Comment