Kwa mujibu wa Katiba ya
KENYA huu utakuwa muhula wake wa mwisho.
Kenyata ameapishwa mbele
ya maelfu ya wananchi wa nchi hiyo katika uwanja wa Michezo wa Kasarani jijini
Nairobi.
Kiapo:
"Mimi Uhuru Kenyatta,
naapa kuwa nitakuwa mwaminifu kwa Jamhuri ya Kenya, nitaiheshimu, nitailinda,
kuitetea na kuihifadhi Katiba, Mungu nisaidie,"
No comments
Post a Comment