
Mwanariadha wa mbio
za masafa ya wastani kutoka Marekani David Torrence amepatikana
amefariki katika kidimbwi cha kuogelea katika jimbo la Arizona akiwa na
miaka 31.
Alibadilisha uraia kutoka Marekani hadi Peru na akawakilisha taifa hilo lake jipya katika michezo ya Olimpiki ya Rio mwaka 2016.
"Wachunguzi wa jinai wamebaini kwamba hakuna dalili zozote dhahiri kwamba huenda aliuawa," taarifa ya polisi imesema.

No comments
Post a Comment