HAMILTON BINGWA TENA BGP.

 
Dereva raia wa Uingereza, Lewis Hamilton, ameibuka mshindi katika mbio za Belgian Grand Prix. 

Hamilton alitumia muda wa saa moja dakika 24 na sekunde 42 na kuongoz a kwa alama 25 dhidi ya wapinzani wake. 

Huku dereva Sebastian Vettel, alishika nafasi ya pili kwa kupata alama 18 na Daniel Ricciardo, akimaliza katika nafasi ya tatu kwa kupata alama 15.
TAG